Habari za Mastaa


Jacqueline Wolper Masawe anyang'anywa gari lililokuwa linampa kiburi mjini:


 Mwigizaji ‘five star’ kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang’anywa gari lake la kifahari aliokuwa akitanua nao katika mitaa mbalimbali ya jiji la Bongo.

Habari zenye ukweli 100% ambazo chanzo chetu imezinyaka zinasomeka kuwa Wolper anayejulikana kama Amber Rose wa Bongo amenyang’anywa mkoko huo aina ya BMW X6 wenye thamani ya ‘ngawira’ za kibongo ML 170, sambamba na kupigwa ‘stop’ kukaribiana na mshefa aliyekuwa amemnunulia ndinga hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo, hatua ya mshefa huyo kuamua kuchukua ndinga yake ni baada ya kugundua kuwa Wolper anatoka kimapenzi na ‘sharobaro’ mmoja anayemiliki duka maarufu la viwalo pande za Kinondoni.
Aidha chanzo hicho, kimeieleza chanzo chetu kuwa hivi sasa mwanadada huyo ameamua kutembelea ndinga aina ya Noah aliyokuwa…
Mwigizaji ‘five star’ kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang’anywa ‘mkoko’ (gari) wa kifahari aliokuwa akitanua nao katika mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo.
Habari zenye ukweli 100% ambazo chanzo chetu imezinyaka zinasomeka kuwa Wolper anayejulikana kama Amber Rose wa Bongo amenyang’anywa mkoko huo aina ya BMW X6 wenye thamani ya ‘ngawira’ za kibongo ML 170, sambamba na kupigwa ‘stop’ kukaribiana na mshefa aliyekuwa amemnunulia ndinga hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo, hatua ya mshefa huyo kuamua kuchukua ndinga yake ni baada ya kugundua kuwa Wolper anatoka kimapenzi na ‘sharobaro’ mmoja anayemiliki duka maarufu la viwalo pande za Kinondoni.
Aidha chanzo hicho, kimeielezachanzo chetu kuwa hivi sasa mwanadada huyo ameamua kutembelea ndinga aina ya Noah aliyokuwa anaitumia hapo awali sambamba na kutoka kwa kuvizia kukwepa watu wake wa karibu washitukie mchongo.
Katika kuhakikisha kuwa ukweli unajulikana chanzo chetu iliamua kumsaka na baada ya kupatikana Wolper aligeuka mbongo na kudai kuwa hakuna jambo kama hilo isipokuwa kilichotokea ni kuwa gari limepata matatizo na ameamua kulipeleka ‘garage’.
Alipotakiwa kueleza kuwa imekuwaje gari mpya kama ile aipeleke garage tene kwa siku tatu Wolper alisme hivi: “Bwana eeh wee jua liko ‘garage’ hayo maswali mengine mimi sitaki kuayasikia na kama una taka ugomvi endelea kuniuliza” alisema na kuondoka haraka eneo alilokuwa amekaa.


Kumbe wema alidanganya kuhusu mjengo anaoumiliki
 Siku chache baada ya msanii mwenye vibweka vingi ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Wema Abrahamu Sepetu kutangaza kuwa anamiliki mjengo wenye thamani ya shilingi za kibongo Ml 400, hatimaye mmiliki halisi wa mjengo huo ameibuka.

Akiwa kwenye pozi ndani ya mjengo huo
 Siku chache baada ya msanii mwenye vibweka vingi ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Wema Abrahamu Sepetu kutangaza kuwa anamiliki mjengo wenye thamani ya shilingi za kibongo Ml 400, hatimaye mmiliki halisi wa mjengo huo ameibuka.

Akizungumza na chanzo chetu mapema leo,mmoja watu walio karibu na mmiliki huyo mwenye asili ya kiarabu anayemiliki jina la Ahmed au Msafiri kama anavyojulikana kwenye mitaa hiyo amesema kuwa Wema aliutangazia umma juu ya umiliki wake kwa nyumba hiyo wakati ambao kijana huyo wa kiarabu alikuwa safari nchini Brazil kwenye michongo yake.


“Unajua Wema amewadanya watu kwa kiasi kikubwa, nafikiri anatakiwa kuomba radhi nakuwaeleza ukweli kwenye nyumba ile hana hata kipande cha tofali na mmiliki halisi ni mshikaji wangu Ahmed ambaye mara kadhaa huwa anasafiri kwenda nchini Brazil  kibiashara” kilisema chanzo hicho.




mapema leo,mmoja watu walio karibu na mmiliki huyo mwenye asili ya kiarabu anayemiliki jina la Ahmed au Msafiri kama anavyojulikana kwenye mitaa hiyo amesema kuwa Wema aliutangazia umma juu ya umiliki wake kwa nyumba hiyo wakati ambao kijana huyo wa kiarabu alikuwa safari nchini Brazil kwenye michongo yake.


“Unajua Wema amewadanya watu kwa kiasi kikubwa, nafikiri anatakiwa kuomba radhi nakuwaeleza ukweli kwenye nyumba ile hana hata kipande cha tofali na mmiliki halisi ni mshikaji wangu Ahmed ambaye mara kadhaa huwa anasafiri kwenda nchini Brail  kibiashara” kilisema chanzo hicho.



Pozi la Wema ndani ya mjengo
 Lol! me sina tena usemi juu ya tukio hili.




D' BANJ AZINDUA RECORD LABEL YA DKM RECORDS.

Mkali kutoka Nigeria ambaye aliendeleza mwendelezo wa kuitangaza vizuri nchi yake baada ya 2 Face na wengine namuongelea D'Banj ambae yuko chini ya lebo ya Good Music ya mtu mzima Kanye West kutoka Marekani. D'Banj amezindua record label yake inayoitwa DKM Records ambayo ni kifupi cha D'Koko Master Records na msanii pekee aliyesaini ni Kayswitch. Pia zimeendelea habari za chini kwa chini kwamba wasanii kibao wanatarajiwa kusaini lebo hiyo ya D'Banj inayoitwa D'Koko Master Records. Kulikuwa kuna rumors kwamba msanii Davido amesaini kwenye lebo hiyo lakini sio kweli. Davido amesaini kwenye record lebo yake ya HKN Records wamefanya just a collabo na D'Banj.



DIAMOND AVUTA  KITU MILLION 60


Staa wa muziki wa kizazi kipya  Bongo, Naseeb Abdul  ‘Diamond  Platinumz’ amevuta mkoko wa Kijanja  wenye thamani ya ‘mkwanja wa Kibongo Milioni  60 keshi.


Akizungumza na Teentz.com  muda mfupi  baada ya  kupokea  ‘dinga’ hiyo aina ya Land Cruiser Prado TX  kutoka kwa wakala aliyekuwa akishughulikiwa  mpango mzima  wa  kuingia kwake  hapa  Bongo, Diamond  alifunguka kuwa alikuwa na mpango wa kuvuta  mkoko ‘dizaini’ hiyo kitambo lakini  kuna mambo kadhaa yakawa  yanachelewesha.

‘Ndinga’ hiyo aina ya Land Cruiser Prado TX kutoka kwa wakala aliyekuwa akishughulikiwa mpango mzima wa kuingia kwake hapa Bongo, Diamond alifunguka kuwa alikuwa na mpango wa kuvuta mkoko ‘dizaini’ hiyo kitambo lakini kuna mambo kadhaa yakawa yanachelewesha.



“Nashukuru Mungu kuwa mpango wangu umetimia, nilipanga hivi kitambo lakini kuna baadhi ya mambo yalichelewesha hatua hiyo, najua watu watasenama mengi kuhusu hili lakini ukweli ni kuwa huu ni mchuma wangu” alisema Diamond.



Katika hatua nyingine Diamond alifunguka kuwa awali alinunua mdinga kama hiyo huko visiwani Zanzibar, lakini baada ya kuikagua aligundua kuwa lina matatizo na kuamua kulirudisha na kuagiza kitu kipyaaaaaa.



HUYU NDIO MTOTO wa Mr. Blue Pamoja na kimwana wake aliyepata naye mtoto.

Mr Blue na mpenzi wake Waheeda Mohamed
MTOTO ANAITWA- SAMEER










ZUSHENI TU ILA HUYU NDIO NIMEMUIMBIA PIGA SIMU FT DIAMOND




















So after kusema nina boyfriend basi kila mtu anaanza

 kumtaja anayemjua 
yeye ,
mara Diva anatoka na huyu mara na yule mara blah blah 
,how sad this news is to me.
sijataja mtu jina ...and are u sure huyo unaemuhisi au
 unayemtaja natoka nae? maana
 nilivyosema
 sina boyfriend for years mlisema Diva msagaji Diva this Diva that ,
 nasema nina boyfriend
 nimemuimbia nyimbo mnaanza sasa kunitajia list ndefu , u guys got 
time i swear,yall dont
 kno a bit about me , kweli ukiwa kwenye media jiandae kuzushiwa
 kila kukicha, u guys
 never cease to amaze me.
but one question are u guys sure if igot a boyfriend au am 
doing this for Publicity?????
 ...what if its a Publicity ili muache kunisumbua ? what if i got a

boyfriend really?what if
 nikisema u guys worry too much about what
 matters and shuldnt matter? maana 
whatever ntachosema itageuka kuwa business,
what if am playing mind games? mtaamini au?
 well - keep it Personal my life not for public
 consumption, got diff life nje ya media but 
what if nikisema u need to learn to mind your
 own business? coz the best business in the 
world is minding your own business
what if nikisema J.HOLIDAY From USA Ndio
 niliomuimbia nyimbo ya Piga simu na nilionana
 nae vipi ni siri yangu ,mtaendelea kupakaza au 
mtaacha na kuamini nilichosema.
One word , as long as sijataja nani nimemuimbia nyimbo
 naomba muache haraka kunipakazia
 na naomba niseme sasa J.Holiday from USA ,RNB Singer
 ndio nimemuimbia nyimbo ya
 Piga simu ,thats ma baby up there si zaidi ,its all about
 the business , avr pays me through
 ringtones ambazo ndo target yangu si zaidi ,am a radio
 Personality and my life is 
very Private
 aisee jamani. acheni kuzusha mambo ya ajabu na
 kusambaza,maana asilimia ya 
mambo ninayoandikwa na kuongelewa thats so not me ,
 nijueni basi kidogo ndo mnizungumzie ,
 mkinijua Personal mtaacha hizo rumors za chuki nyingi.
 ni ujinga mtupu.maana sijawahi piga picha
 au video za uchi never ,why would i do that?kama
 mnazo si mtoe youtube zikiwa na
 sura yangu kabisa na sio hizo mnazofanya photoshop 
,video unayo si Upload youtube 
sasa niwe famous kama kim kardashian jamani ,hamuoni
 aibu kunizungumzia
 negativity daily? lets be real nenda kwenye night club
 kama utaniona sura yangu
 ,nenda sehemu wanazo hangout celebs kama utaona 
sura yangu , i  dont go out normally,
 i dont smoke weed ,i dont drink and i dont party , its
 movie movie with me baaasi , so why
 mnaongeaongea tu ,am not that chick wa marafiki
 wala kuzurura , raised very well .
..tupeane break sasa, mjueni mungu abit maana its to
 much sasa. Diva Jeuri Jeuri 
 sana yes mimi Jeuri ndio hilo nakubaliana nalo mimi
 jeuri ndio ,Diva anaringa sijui
 its true naringa mi mbondei maringo kazi yetu ,Diva
 hana Adabu hilo hapana
 nawaheshimu wote as long as hujanivunjia heshima na
 naongea na watu wa rika lote
 masikini na matajiri coz at the end of the day we are all 
going to die ,so why judging a
 young woman trying hustle the right way in negativity
 kama hizi daily halafu amchoki?
 Next thing what???Diva freemason labda maana ndio zenu
 hizi mpya while am a very Good 
Christian and church is the right thing for me every sundays ,
 serious what next jamani???
 what next?? da maana nimechoka sana sana
stop this jamanin,negativity will never take u nowhere kabisa kabisa.
wish u all a lovely day.
Enough is Enough  asema Loveness wa Clouds FM

Kali toka kwa Hemed::Hemed Asema"Nishatembea na Wanawake Mastaa Kama 32 Hivi bila kinga"...!


Kwanza kwa kuanza ningependa kumshukuru Hemed suleiman kwa kuwa mmoja kati ya wavaaji wazuri wa Single buttons ninazozitengeza... picha zote unaziona ni amevalishwa na Martin kadinda..... turudi katika swala zima ambalo limenifanya kuandika Post hii.... Nilitaka kujua ni vijana wangapi watuamiji wazuri wa condoms hasa kwa vijana maarufu. Mtu wangu wa kwanza amekuwa Hemed Suleiman aliniambia: "we jamaa maswali gani hayo bana? mimi kondomu za nini? muda wote mimi nakwenda dry... anakaongezea kuwa alikuwa katika mahusiano na msichana mmoja ambaye hajataka kumtaja na anasema kwa sasa wameachana imepita miezi 3... anasema aliwa kupima nae virusi vya ukimwi na walipojikuta wako safi wakaamua kujilipua kavu kavu....





Alinichosha na majibu yake ikanibidi nihamie katika swali la pili: ambapo nilimuuliza kama amewahi kuwa katika mahusiano na wasichana wakitanzania maarufu? 

HEMED: Marti Martin...... unauliza kengele kanisani??? unadhani kwanini naitwa Hemed PHD? nina taaluma ya kucheza na mioyo ya mabinti hawa wakibongo.... ila tatizo hawanivutii huwa napita tu kwakuwa nina hamu na wakati huo au ninakuwa sipo katika mahusiano na mtu yoyote....

MIMI: Duuh kwahiyo ushampitia nani hii..........?? na nanihiiii........??
HEMED: hilo sio swali... mpaka sasa nishawapitia 32... kwahiyo kuhusu majina katafute mwenyewe huko mtaani mbona stori zipo??
 

No comments:

Post a Comment