Saturday, June 30, 2012

Ndoa ya Bob Juniour kuonekana ya Tofauti

 


Bob Juniour mmiliki wa studio ya Sharobaro record licha ya kufunguka kuwa anatarajia kufunga ndoa na mpenzi wake kutoka Zanzibar na sherehe ye ndoa hiyo kufanyika nyumbani kwao mapema wiki hii msanii na mmiliki huyo huyo wa studio ametamka kuwa mnamo Julai mosi atafanya pia sherehe ya ndoa yake ndani ya ukumbi wa Klabu ya Billz ambako uingiaji wa watu hautakuwa wa sheria bali kila mtu anaruhusiwa kuhudhuria sherehe hiyo na amedai itakuwa ya aina yake kwenye historia.

   

No comments:

Post a Comment