Sunday, August 5, 2012

Afande Selle avua nguo jukuwani

Huku msanii wa bongo fleva Chid Benz akiacha watanzania midomo wazi kwa kikendo cha kutoboa pua, Afande Selle naye aibuka na jipya iliyovunja rekodi kwa kuvua nguo na kubaki na cha ndani kisichoeleweka hata jina lake na wala brand ya kampuni iliyoitoa...
Swali linabaki kwa mashabiki wa bongo fleva kuwa ni wapi tunaelekea na mziki wetu na ni tamaduni gani hizi zinazoibuka baina ya wasanii wetu?

1 comment:

  1. hayo ni masharti ya kuwa member katika kanisa la kidunia

    ReplyDelete