Lori
lakubeba kifusi cha mawe aina ya Skania Namba T 525ACP Mali ya Bhanji ,
lililo katika breki na kushindwa kusimama katika Mteremko wa Nzovwe na
kuenda kugonga Gari aina ya Prado ambapo Dereva wa Gari hilo dogo
alifariki hapo hapo.
Gari
aina ya Prado lenye namba za usajili T720BUV iliyo kuwa inaendeshwa na
mama Edna Sanga ambaye alifariki hapo hapo baada ya ajali hiyo.
Muuguzi katika Hospitali ya Rufaa Usebia Ulalo akiwasomea majina waandishi wa habari, ya majeruhi
Msongamano wa magari kutokana na ajali hiyo
Dereva wa Lori hilo Daudi akiwa amelazwa katika hospitali hiyo ya Rufaa Mbeya
malori mabovu yanacpost sana maisha ya watu..pole kwa wafiwa na mungu awape faraja...majeruhi kila la heri ....malori yachunguzwe usalama na umadhubuti wake!
ReplyDelete