Tuesday, July 17, 2012

BEYONCE NA SOLANGE KNOWLES WAGOMBANA KISA URAFIKI NA KIM KARDASHIAN





The Keeping Up With The Kardashiansreality star ameingia kaatika urafiki na Grammy award-winning singer baada ya kuwa na uhusiano na rafiki wa karibu wa Beyonce, Kanye West. Beyoce na Kim wameonekana pamoja katika 'Watch The Throne' tour ya Kanye na Jay-Z na katika tuzo zilizopita hivi karibuni za BET, huku ikisemekana kuwa Kim pia anazidi kujiweka karibu na mtoto wa Beyonce mwenye miezi sita sasa, Blue Ivy.
licha ya urafiki huo kuonekana kushamiri, mdogo wake Beyonce, Solange Knowels hajafurahishwa kabisa na urafiki huo na kuamua kumuambia dada yake ya moyoni
"kwa maono ya Solange, Beyonce ni stand-out star, wakati Kim ni star wa reality TV ambae amejiolea umaarufu baada ya kuvuja kwa video yake ya x a.k.a pilau." kimeelezea chanzo
"kwahiyo Solange akmvutia waya B juu ya hilo ambapo B alimjibu kuwa anaweza kuwa rafiki na mtu yeyote anaemtaka yeye.
beyonce awe rafiki na yeyote anaetaka yeye , ama unadhani  mdogo wake ana point hapo.??????

No comments:

Post a Comment