Wednesday, October 3, 2012

Angalia Rufaa ya LEMA ilivyoahirishwa mahakamani Arusha

DSCN5552 Baadhi ya wananchi waliokusanyika nje ya ofisi za Chadema Mkoa wa Arusha, eneo la Ngarenaro wakimsikiliza Mh Godbless Lema haonekeni pichani mara baada ya kutoka Mahakamani kusikiliza shauri lake kupinga kuvuliwa ubunge. Picha hii ni taswira nusu ya kwanza ya watu
DSCN5541 Mh. GodblessLema akizungumza na kuagana na wananchi waliokuwa nae  Mahakamani, mbele ya ofisi za chama hicho.
DSCN5551 Hii ni nusu nyingine ya taswira halisi za wananchi waliofika ofisini hapo…

DSCN5552Baadhi ya wananchi waliokusanyika nje ya ofisi za Chadema Mkoa wa Arusha, eneo la Ngarenaro wakimsikiliza Mh Godbless Lema haonekeni pichani mara baada ya kutoka Mahakamani kusikiliza shauri lake kupinga kuvuliwa ubunge. Picha hii ni taswira nusu ya kwanza ya watu
DSCN5541Mh. GodblessLema akizungumza na kuagana na wananchi waliokuwa nae  Mahakamani, mbele ya ofisi za chama hicho.
DSCN5551Hii ni nusu nyingine ya taswira halisi za wananchi waliofika ofisini hapo
DSCN5537DSCN5534kutoka MahakamaniShamrashamra barabarani wakitoka Mahakamani hii leo
RUFAA ya kupinga kuvuliwa ubunge wa aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), imesikilizwa leo na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, wakiongozwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande, na kisha kuahirishwa hadi siku ambayo itatangazwa baadae

Baadhi ya wananchi waliokusanyika nje ya ofisi za Chadema Mkoa wa Arusha, eneo la Ngarenaro wakimsikiliza Mh Godbless Lema haonekeni pichani mara baada ya kutoka Mahakamani kusikiliza shauri lake kupinga kuvuliwa ubunge. Picha hii ni taswira nusu ya kwanza ya watu

No comments:

Post a Comment